Facebook
Twitter
Problem melden

Walu Watu Songtext

Mbali ya ma inchi yote
Mbali ya Paris au Roma
Kuna watu masikini
Hawa liye hawa ombe
Wana itika tu vile
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala
Njo vile... kila siku

Waca ile maneno ya bule
Usiji liliye hali yako
We haujuwe umasikini
Hangaliya wale watu
Hawa liye hawa ombe
Wale watu wana imba
Ata kama wana lala njala

Waca kabisa
Kuwaza kama weye
Haupashwe kujuwa
Mayisha yao
Juwa na siye
Siye mbali yao
Tuna weza kuwasayidiya
Kila siku
News
The Rolling Stones zollen Charlie Watts Tribut
Vor 2 Tagen
The Rolling Stones zollen Charlie Watts Tribut
Janet Jackson: Ankündigung ihrer Europatournee
Vor 2 Tagen
Janet Jackson: Ankündigung ihrer Europatournee

Album Khadja Nin (1992)

Khadja Nin
  1. 1.
  2. 2.
    Mulofa
  3. 3.
    Ay Ay Ay
  4. 4.
  5. 5.
  6. 6.
    Simba
  7. 7.
  8. 8.
    Wale Watu
  9. 9.
    Samba Latino
  10. 10.
    Mupe
  11. 11.
    Rudiya
  12. 12.
    Njala
Khadja Nin - Walu Watu
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru