Facebook
Twitter
Problem melden

Malaïka Songtext

Angelique Kidjo
Keep On Moving The Best Of Angelique Kidjo
Malaika
Malaika, nakupenda Malaika.
Malaika, nakupenda Malaika.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Kidege, hukuwaza kidege.
Kidege, hukuwaza kidege.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio,
Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.

Nashindwa na mali sina, we,
Ningekuoa Malaika.
News
Sasha: Der Sänger musste sein Leben umkrempeln
Vor 2 Tagen
Sasha: Der Sänger musste sein Leben umkrempeln
Tame Impala: Verkauf seines gesamten Musikkatalogs an Sony Music Publishing
Vor 2 Tagen
Tame Impala: Verkauf seines gesamten Musikkatalogs an Sony Music Publishing

Album Logozo (1992)

Angélique Kidjo
  1. 1.
    Batonga
  2. 2.
    Tché-Tché
  3. 3.
    Logozo
  4. 4.
    Wé-Wé
  5. 5.
    Malaïka
  6. 6.
    Ewa Ka Djo
  7. 7.
    Kaléta
  8. 8.
    Elédjiré
  9. 9.
    Sénié
  10. 10.
    Ekoléya
Angélique Kidjo - Malaïka
Quelle: Youtube
0:00
0:00
Made with in Berlin
© 2000-2024 MusikGuru